rightclick logo
::www.rightclicktz.com
Pakua video
rudi nyumbani
Soma wasifu wa timu ya rightclick
kuhusu rightclick
Uliza maswali ama toa maoni
wasiliana na rightclick

Tazama Video

Tazama baadhi ya video za Right Click. (zingine ziko kwenye utaratibu wa kuwekwa katika tovuti)

Hizi video ni za muundo wa .mp4, hivyo unaweza kuzitizama kwa kutumia QuickTime player, iTunes, Real player ama media player yoyote ambayo inaweza kuonyesha mp4.

Vile vile, tunaanda utaratibu ambao utawezesha watazamaji kuona vipindi kupitia hapa kwenye tovuti moja kwa moja bila kupakua.

Muhimu

Tizama video kamili kupitia kwenye broswer yako. Unatakiwa uwe na 'plug in' za QuickTime player.

 

 



Pekua rightclicktz.com

Muhimu.

Kama una kompyuta mpya, ambayo unaitumia kwa matumizi ya kawaida ya kiofisi/kishule, ni muhimu kuwa na program hizi za ziada:
Adobe Reader
Media Player (QuickTime, Real Player)
Zip (WinZip, WinRaR)

AntiVirus/Spyware
AVG Free
Windows Defender (windows)

Mtandao/Internet
Chatting program (hata kama hutumii)
Yahoo Messenger
MSN Messenger
Skype
Google Talk
DAP (kupakua)

List hii sio kamilifu, hivyo waweza kuongeza vile vya muhimu, kama kuna program ambayo unajua inafaa kwa matumizi ya kawaida, na ni bure, tueleze ili tuiweke hapa kwa faida ya wote

Zaidi:
Programu ya kuswahilisha MS Office 2003
Jambo OpenOffice (Kiswahili)

rightclick footer