rightclick logo
::www.rightclicktz.com
kuhusu rightclick
rudi nyumbani
Pakua video
Soma wasifu wa timu ya rightclick
Uliza maswali ama toa maoni
wasiliana na rightclick

kuhusu Right Click

Right Click ni kipindi cha televisheni kinachohusu matumizi ya kompyuta, kompyuta yenyewe, programu zake na habari zinazohusiana na kompyuta.Kipindi kinarushwa katika lugha ya Kiswahili.

Timu ya Right Click wamejitolea kukupa habari za kina kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasilianao (TEKNOHAMA) ama ICT kwa kiingereza zinazotokea Tanzania na Duniani kwa ujumla.
Right Click ina lengo la kuhamasisha matumizi ya kompyuta kwa watu wa ngazi zote za maisha nchini Tanzania na Afrika ya Mashariki kwa Ujumla. Wanaamini kwamba kompyuta ni kwa ajili ya kila mtu na ikitumiwa ipasavyo itasaidia kupunguza na kuondoa umaskini, hapa ni kwa matumizi yote ya kompyuta.

Licha ya kutoa habari na kuhamisha matumizi ya kompyuta, vile vile Right Click inafundisha matumizi ya kompyuta.

Right Click inaundwa na wataalamu wa kompyuta, walimu wa kompyuta, wataalamu wa uandishi wa habari na matangazo. Right Click ni kwa watu wote.

Right Click inaoneshwa katika televisheni ya Channel ten.




Pekua rightclicktz.com

rightclick footer