rightclick logo
::www.rightclicktz.com                go to english site english site
rudi nyumbani
Pakua video
Soma wasifu wa timu ya rightclick
kuhusu rightclick
Uliza maswali ama toa maoni
wasiliana na rightclick

 

 

 

Usikose kuangalia kipindi cha Right Click kila Jumapili saa kumi na moja jioni kupitia Channel ten

 

English site go to english site

 

Right click kwa sasa haipo hewani, hii ni kwa kuwa tunaboresha kipindi. tumepokea barua pepe nyingi na maoni kutoka kwa watazamaji wakiuliza kulikoni.. jibu ni kuwa, right click inarudi na nguvu mpya kwani waandaaji wake wameongeza ujuzi maradufu

 

 

Karibu katika tovuti ya Right Click

Tovuti hii imetengenezwa kwa nia ya kukupa habari zinazotolewa na kipindi cha 'Right Click' kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha Channel ten Tanzania.

rightclick backdropRight Click ni kipindi cha televisheni kinachohusu matumizi ya kompyuta, kompyuta yenyewe, programu zake na habari zinazohusiana na kompyuta.Kipindi kinarushwa katika lugha ya Kiswahili (zaidi).

Timu ya Right Click wamejitolea kukupa habari za kina kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasilianao (TEKNOHAMA) ama ICT kwa kiingereza zinazotokea Tanzania na Duniani kwa ujumla. Vile vile, Tovuti hii inakupa zaidi ya yale yanayotolewa na kipindi cha Right Click.

videoPicha ndogo ya video

 

Sasa unaweza kutazama video (baadhi) za Right Click kutoka katika tovuti hii. Nia ni kukuwezesha kutizama video hizo hata kama ulikosa kutizama kipindi kupitia televisheni.

 

 

swali

Kama una swali, maoni ama unataka kutoa ushauri kwa Right Click, unaweza kuandika barua pepe ama kujaza fomu ya haraka na rahisi ambayo itafanyiwa kazi haraka. Utajibiwa kwa njia ya simu, barua pepe, tovuti ama kupitia katika televisheni.

 

 

 



Pekua rightclicktz.com

 
rightclick footer